Thursday, November 13, 2014

CNN YAJIPIGA JANGA: YARIPOTI KUUAWA KWA RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI

ILIWASHTUA wengi na kuzua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii baada ya shirika la utangazaji Marekani CNN kuripoti kuuawa kwa Rais Obama.
Makosa ya kiuandishi yalifanyika ambapo mtayarishaji wa video aliandika neno Obama badala ya Osama.
Habari hiyo ilikuwa inahusu mwanajeshi aliyedai kutekeleza shambulio na kumuua Osama bin Laden,
“.. Seal who Claims he Killed Obama Under Attack…”
Kosa hilo lilikaa hewani kwa sekunde kumi na tano kabla ya kufanyiwa marekebisho.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI