Tuesday, November 18, 2014

JIBU LA 'YES' NDILO ALILOTOA FLAVIAN MATATA BAADA YA KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA *PICHAZ*

MWANAMITINDO wa kimataifa anayetokea Tanzania, Flaviana Matata ambaye amekuwa akiishi Marekani, kafungua ukurasa  mpya kwenye maisha yake baada ya kuvishwa pete ya Uchumba. 
Kwa furaha aliyokua nayo, Flavvy aliipost picha kwenye page yake ya Instagram @FlavianaMatata Nov 16 2014 na kuionyesha hiyo pete na kama vile haitoshi, akaandika maneno ya ‘I said YES‘ ambapo Yes aliiandika kwa herufi kubwa…. yaani ‘Nilikubali au nilisema ndio’

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI