Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.
Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.
0 comments:
Post a Comment