Thursday, November 13, 2014

BASI LA ALLYS STAR LAKAMATWA NA MBAO ZIKIWA ZIMEFICHWA NDANI YA VITI VYA ABIRIA, KAHAMA *PICHAZ*

 Hili ndiyo basi la Allys star likiwa kituo cha polisi wilayani kahama baada ya raia wema kutoa ripoti ya basi hilo limebeba mbao ndani  kwenye viti na abiria .huku afisa wa mistu mwenye shati jeupe mohamed Dossa akisimia kushushwa kwa mbao hizo.
 Basi la Ally star likiwa kituo cha polisi kabla ya kutoa mbao hizi .
 Maafisa wa maliasili wilayani kahama wakishangaa jinsi gani mbao hizo zilivyofichwa ndani ya basi la abiria vikiwemo vitanda na mbao
 Hii ndiyo hali halisi wa maliasili zetu zinazoimbwa na wafanyabiasha kwa kupitia njia za panya bila kulipia kodi za mazao .
 Afisa maliasili na mistu mohamed dossa mwenye shati jeupe akiangali mfanyakazi wa basi la allys star jinsi anavyozitoa mbao ndani ya basi kwa kupia ndirisha la basi hilo.
 Mmoja wa wafanyakazi wa basi la allys star akitoa moja ya vitanda kwenye basi hilo muda mfupi baada ya basi hili kukamatwa kwa taarifa kwa raia wema huku baadhi ya abiria wakiwa wamedua

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI