Watoto mapacha Eliud (kushoto) na mwenzake Elikana, wakiwa nyumbani
kwao katika kijiji cha Kasumulu wilayani Kyela, Mkoani Mbeya juzi.
Watoto hao waliozaliwa
wameungana walifanyiwa upasuaji nchini India
Desemba 16 mwaka jana, upasuaji uliochukua saa 12 ulioghalimu kiasi cha
sh100milioni. Elikana ameanza kuetembea huku mwenzake, akiwa katika
hatua ya kutambaa.
Tuesday, October 7, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Pichani: Mike Sonko na Rachel Shebesh HIZI ni baadhi ya picha za Sonko na Shebesh. Mike Sonko alisema zilitengenezwa nakundi la...
-
1. NISHA JABU 2. FLAVIANA MATATA 3. NELLY KAMWELU 4. JOKATE MWEGELO 5. NANCY SUMBELARI 6. BELINA MGENI 7. VANESSA M...
-
Bw. Robert Kahendaguza Bw. Msafiri Marwa UTEUZI WA NAIBU MABALOZI RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho ...
-
Send Off ya Flaviana Matata ilifanyika huko mkoani kwao, Shinyanga. Flavvy akiwa na Matron wake, Jennifer Bash Akifanyiwa makeu...
-
Macho yangu au maana naona kama mrembo huyu wamefanana na nyoka aliemshika.






0 comments:
Post a Comment