Katibu
Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya
Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao
vya CCM. Wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kushoto
ni Makamu wa CCm Bara Ndugu Philip Mangula.
Baadhi
Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika skafu na
kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo anatarajiwa
kuongoza vikao vya ngazi ya juu vya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipita muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo anatarajiwa
kuongoza vikao vya ngazi ya juu vya CCM.
0 comments:
Post a Comment