Sunday, October 5, 2014

NICKI MINAJ A-SHINE KWENYE COVER LA L’UOMO VOGUE *PICHAZ*

Nicki-Minaj-for-L’Uomo-Vogue 2
PAMOJA na kuandamwa na changamoto tofauti hivi karibuni ikiwemo manager wake wa zamani kutaka fidia kwa kumgundua, rapper Nicki Minaj anazidi kun’gara kwenye majarida tofauti burudani na mitindo. 
Nicki-Minaj-for-L’Uomo-Vogue-5
Kuelekea kutoka kwa album yake mpya Nicki minaj anategemea kuonekana kwenye cover la jarida la L’Uomo Vogue.
Nicki-Minaj-for-L’Uomo-Vogue-6

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI