JOH MAKINI ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kurekodi nyimbo kadha na kuwa nazo kabatini mpaka muda unapofika wa kuzitoa, I See Me ndio wimbo wa mwisho kutoka kwa Joh Makini, Video ipo tayari na wiki iliyopita alisema inatoka ndani ya mwezi wa Kumi 2014.
Sunday, October 5, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment