Sunday, October 5, 2014

G-UNIT KWENYE JARIDA LA XXL, WAMTAMBULISHA KIDD KIDD, NAYE ALIPIGWA RISASI MARA 6 *PICHA*

KUNDI la G-Units linaloundwa na wasanii Lloyd Banks, Tony Yayo, Kidd Kidd, Young Buck na 50 Cent limetajwa kuwepo kwenye kurasa ya mbele ya gazeti la XXL.
Stori kubwa kuhusu kundi hili ni kutengana na kurudiana “Break Ups 2 Make Ups of Rap’s Ultimate Crew”.
Kwenye interview ametambulishwa rasmi Kidd Kidd kama rapper wa G Unit, Kidd aligunduliwa na Lil Wayne na walitofautiana baada ya kushirikishwa kwenye Mr Officer na baadae kutolewa kwenye video bila sababu. 
Kidd alijiunga na G Unit na wiki sita baadae akapigwa risasi mara sita. 
Ameshirikishwa kwenye kazi za 50 Cent mara kadha ila hajawahi kutambulishwa rasmi mpaka sasa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI