Muigizaji Maggie Q ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la NIKITA, toka katika ile series ya NIKITA, akipozi kwaajili ya waandishi wa habari kupata kumbukumbu
Vanessa Mdee akipozi mbele ya waandishi wa habari katika siku ya kusherehekea siku ya kuzaliwa ya msanii mwenzake Diamond Platnamz.
Je kati ya wawili hawa, Maggie na V money, nani unaona amevunja kabati
0 comments:
Post a Comment