Tuesday, October 14, 2014

"KABULA KAHABA..KABULA MLEVI..KABULA MGOMVI..KABULA ANA UKIMWI" - MWENYE AFUNGUKA



MUIGIZAJI wa kike Bongo Movies JINI KABULA anayetumia jina la Kabulaflavour kwenye mtandao wa INSTAGRAM amefunguka hivi kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake!!!
"Kipi sijasikia...Kabula kahaba..Kabula mlevi..Kabula mgomvi..Kabula ana ukimwi..na mengine mengi tu,naombeni mseme mapya nimechoka kusikia ya zamani na kama hamna mapya niacheni nipumzisheni nipumzike..."
Akaendelea nahii;
"Ooooh mala nimefulia jamani naomba kuwaambia sijawahi kuwa Manji kwaiyo habari za kufulia sizijui wanaofulia ni wale ambao walishawahi kuwa matajiri sasa umeona wapi maskini naye kafulia..??? Hihihihihihi binadamu mnakazi sana nimemalizaaaa"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI