Saturday, October 18, 2014

HUYU NDIYE MKE HALALI WA HUSSEIN MACHOZI ALIYEFUNGA NAE NDOA KIMYA KIMYA HUKO KENYA *PICHAZ*

HATUA ya Mwanamuziki Hussein Machozi kuamia nchini Kenya na kufanya muziki wake huko kimempatia Hadi mke ndoa ina mwaka sasa na ilikuwa ni siri...Kaoa mke Kutoka Mombasa karibu na Tanga Mapenzi yalipozaliwa.
Hussein Machozi Kupitia Ukurasa wake wa facebook amefunguka haya:
"Ukiwa umefunga ndoa ya haki usiifiche. Mungu atazidi kukufungulia mengi. 

NDIO ILIKUA NDOA YA HUSSEIN MACHOZI NA SHU YUNUS OMAR. MOMBASA KENYA. NI MWAKA SASAAA"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI