MSANII
mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amemkabidhi swahiba wake Lucy
Komba, kiwanja chenye ukubwa wa robo hekari, kilichopo
Bagamoyo mkoani Pwani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki
iliyopita, ikiwa ni kutekeleza ahadi aliyoitoa kwenye kicheni pati
yake.Msanii mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’. “Mimi naona
tunaendana kitabia na Lucy, alinipa kazi moja katika filamu yake ya
Yolanda nikiwa kwenye kipindi kigumu sana, hivyo ni rafiki yangu wa
kweli maana wengine wanaogopa hata kunishirikisha kwenye kazi zao
wanajua nitawafunika,” alisema Dokii.
Msanii
mkongwe wa filamu Lucy Komba akiwa na mume wake Stanley.Kwa upande wa
Lucy alisema: “Mimi sijawahi kuona urafiki wa namna hii, maana wengine
wanatunzana hela kwenye kumbi kitu ambacho siyo sahihi, lakini
nashukuru Dokii kanipa kitu ambacho naweza kujivunia maisha yangu yote
mpaka wajukuu zangu.”
Wednesday, October 1, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Me...
-
Hanging With The Bro! Diamond Platnumz & Kanye West Take A Selfie In L.A. Tanzanian music sensation Chibu Dangote also known has Diam...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mbunge wa Jimbo la Ilala Mh. Idd Azzan Madawati yaliyotolewa n...
-
MWAKILISHI wa mtandao wa Alibaba ndiye tajiri mkubwa zaidi nchini Uchina kulingana na rekodi za kampuni yake. Hili imethibitishwa n...
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
0 comments:
Post a Comment