WAREMBO wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wameingia siku ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na mapumziko ya mchana jioni hii wamefanya mazoezi katika chumba maalumu cha mazoezi 'Gym'.
Picha na Father Kidevu.
0 comments:
Post a Comment