NGULI wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support.
Msanii Professa J akitoa burudani.
Msanii Professa J akizindua video zake.
Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason blog.
0 comments:
Post a Comment