Friday, September 19, 2014

WALIMU WA SEKONDARI TANGA WATANGAZA MGOMO

WALIMU wa shule za msingi na sekondari Jijini Tanga wametangaza kufanya mgomo endapo mapendekezo ya Wizara ya Kazi na Ajira kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi ya Mifuko ya Jamii nchini itapunguza mafao ya wafanyakazi wastaafu wakiwemo walimu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI