Sunday, September 14, 2014

UMEONA GARI ANAYOMILIKI BABA YAKE NA MSANII DAVIDO KUTOKA NIGERIA LIKO HAPA

MSANII Davido kutoka Nigeria ameonyesha gari anayomiliki baba yake mzazi mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika maneno haya "Congrats daddy on your new ‘toy’. Ur d baddest. Baba Olowo’. Is that a Rolls Royce?"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI