Monday, September 15, 2014

MBWEMBWE ZA MASHABIKI JANA TAIFA...YULE STEVE WA KULIA LIA WA YANGA KAHAMIA AZAM NA 'GUNDU'

Mashabiki wa Yanga SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa wakati wa mchezo wa Ngao ya Jamii baina ya timu yao na Azam FC. Yanga ilishinda 3-0.
Aliyekuwa shabiki wa Yanga SC, Steve kulia akiwa na jezi ya Azam jana kuashira amehama timu. Umaarufu wa Steve ulikuja baada ya kulia kufuatia Yanga SC kufungwa 5-0 na Simba SC mwaka juzi.
Mashabiki wa Azam FC jana
Shabiki la Azam kwa raha zake jana Taifa
Shabiki la Yanga SC jana Taifa

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI