Thursday, September 4, 2014

RAIS DK.SHEIN NA MARAIS MBALI MBALI KATIKA UZINDUZI WA MPAMGO WA WIOCC SAMOA

IMG_3343Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya nje ya nchi wa Seychels Jeun-Paul Adam baada ya Waziri huyo kutoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani namabadiliko tabianchi jana katika Orator Hotel, Apia Samoa
IMG_3346
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa   ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa  Nchi za Visiwa unaendelea.
IMG_3349
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji,pamoja na viongozi wengine wakiwa katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea.
IMG_3359
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea wakifuatilia kwa makini hutuba mbali mbali zilizotolea na Viongozi kutoka Nchi tofauti,(kushoto) Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa Mahadhi Juma Maalim.
IMG_3363
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)akiteta na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma  Abdulhabib Fereji, katika  Uzinduzi wa Mpango wa Magharibi ya Bahari ya Hindi ya Changamoto za Ukanda wa Pwani na mabadiliko tabianchi jana katika  Orator Hotel,Apia Samoa ambapo Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaendelea katika nchi hiyo.
[Picha na Ramadhan Othman, Samoa.]

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI