Friday, September 5, 2014

MAKALIO FEKI YAMUUMBUA BLAC CHYNA AMBAYE NI BABY MAMA WA TYGA MBELE YA KADAMNASI, SWETA LAMSAIDIA

WAHENGA walisema ajali haina kinga, jionee hili kwa
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi wa Kim Kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. 
Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani 'fake'.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi toka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa picha akijaribu kuyafunika na sweta kama inavyoonekana hapo chini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI