Friday, September 5, 2014

MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU, TAZAMA HAPA!

Matokeo ya Walioomba Mafunzo Ualimu katika Vyuo vya Serikali
Maelekezo:
Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia muombaji kupata taarifa
anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la).
Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama "Elimu ya Awali", "Michezo", na "Msingi"
(kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida);
au"Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" (kwa waliochaguliwa kujiunga na
"Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba yako ya mtihani ya kidato
cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza kuona kama jina lako
liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana.
Matokeo yanapatikana hapa
Matokeo haya yanapatikana kwa majeduali makubwa katika tovuti ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu na pia kwenye mbao za matangazo katika ofisi za Elimu Mikoa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI