Friday, September 5, 2014

DUH! ANGALIA HAPA TUKIO ZIMA LA KING MSWATI KUCHAGUA MKE MWINGINE NI BALAA WALIOTOROKA KUKIONA CHA MOTO

KING Mswati Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.
Takribani wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia katika taifa hilo kutokana na sheria hizo.
wasichana hao hupita wakiwa nusu uchi ndipo mfalme anachagua mke wake kafikisha wake 14 Pia sasa katika ngoma ya mwanzi alikuwa mfalme Goodwill Zwelithini, mfalme wa Zulu taifa ambaye ana wake 6.
Huyu ni miongoni mwa wasichana wanaopinga kwa nguvu zote sheria za nchi hiyo na yeye katoroka nchini Swazland na anaamini kuwa endapo akirudi nchini kwao atakamatwa na kuuwawa kwani ndio sheria ya nchi yao.
Mfalme Mswati, Mfalme wa Swaziland.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI