JENNIFER Lopez ameamua kumlipa Nick Minaj kupitia video yake mpya ya ”Booty Remix” akiwa amemshirkisha Rapa Iggy Azalea.
Katika Video hiyo inawaonyesha J.Lo na Iggy wakicheza sambamba kwa staili ya kutwerk kama vile alivyofanya minaj kwenye video yake ya Anaconda.
Katika Video hiyo inawaonyesha J.Lo na Iggy wakicheza sambamba kwa staili ya kutwerk kama vile alivyofanya minaj kwenye video yake ya Anaconda.
Booty ni miongoni mwa ngoma zinazopatikana kwenye albamu ya J.Lo inayoitwa A.K.A iliyotoka mwezi June mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment