Na Frank Mavura,
Kwa Msaada wa Mtandao.
MAKATO hayo ya kila mwezi yamejulikana katika mkutano uliofanyika huko Marekani ambapo uongozi wa FACEBOOK kupitia kwa mmiliki wake Mark Zuckerberg wametoa mstakabali wao wa kila mwezi kumchaji kiasi cha dola 2.99 kila mtu anayehodhi akaunti ya FACEBOOK, tofauti na hivi sasa ambapo kila mtu anayetumia Facebook hachajwi kiasi chochote.
CEO wa Facebook Mark Zuckerberg amesema:
“Baada ya kufikiria sana na kwa muda mrefu juu ya uamuzi huu, tumelazimika kuongeza ada hii ya mwezi”.
Pia ameongeza:
“Kama tusipofanya kitu kuhusu gharama za uendeshaji zinazoongezeka kwa sasa, Facebook inaweza kuwa katika hali ngumu kifedha.”
0 comments:
Post a Comment