Thursday, September 18, 2014

DREVA WA BASI ANUSURIKA KUFA BAADA YA BASI KUTAKA KUZAMA MTO PANGANI

 BASI  lanusurika kuzama mto pangani Kwenye kivuko cha mv pangani baada ya kufeli break asubuhi ya jana 17/09 na majeruhi katika ajali hiyo ni dereva peke yake.
Basi hilo likivutwa
Mshuhuda wakiangalia basi hilo likivutwa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI