Wednesday, September 10, 2014

ANGALIA VIDEO ZILIZOREKODIWA MAGARI YAKIPATA AJALI MBAYA

Screen Shot 2014-09-10 at 3.58.16 AM
Wakati ambapo kampuni mbili za mabasi ya J4 na Mwanza coach zimefungiwa kutokana na mabasi yake kugongana na kusababisha vifo vya watu 39 Musoma Tanzania, ni wakati wa kujifunza na kuchukua tahadhari zaidi kutokana na video hizi ambazo zimerekodiwa wakati ajali zikitokea pamoja na vituko vya barabarani.


Hii video hapa chini ina ajali na baadhi ya vituko vya madereva barabarani.

0 comments:

Post a Comment