Wednesday, September 10, 2014

LULU MICHAEL KATIKA MUONEKANO MPYA WA KISTAARABU, SAFI SANA ANAFAA KUWA MKE SASA


ELIZABETH 'Lulu' Michael amekuwa Katika Midomo ya Watu kwa Muda mrefu hasa kutokana na mavazi anayovaa kuwa ya kutega wanaume, Tukio la Mwisho lilikuwa la hivi karibuni kwenye Fainali za TMT ambapo alivaa kivazi cha Uchokozi na kuwa gumzo mitandaoni..
Hivi karibuni Staa huyo wa Bongo Movies Ameamua Kushare picha na mtandao wa ULIMWENGU WA HABARI akiwa katika Mavazi ya Kiutu uzima.
Mdau Unamuonaje????

0 comments:

Post a Comment