Thursday, September 18, 2014

AJALI YA DCM NA RAV 4 MAENEO YA ILALA

Muonekano wa gari hilo lilivyogongwa kwa nyuma.
AJALI imetokea leo mchana maeneo ya njia panda ya Ilala ambapo gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 lenye namba za usajili T606 CHH liligongwa na Toyota DCM linalofanya safari zake kati ya Posta na Tabata Kimanga. 
Rav 4 ilifunga breki ghafla na basi likagonga kwa nyuma. Hakuna majeruhi wala mtu aliyefariki dunia.
(Habari/Picha na GP)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI