Wednesday, August 6, 2014

"TULENI, TUNYWENI KWA AJILI YA AFRIKA MPYA" - OBAMA

USIKU wa jana (5 Agosti), Rais Obama aliwaalika marais wenzake zaidi ya 40 kutokea barani Afrika katika chakula cha usiku, alikojifaharishia pia kukutana na watu aliowaita kutoka bara la baba yake, ambalo alisema lina mustakabali mzuri wa ukuwaji wa uchumi.
"Tunyweni na tuleni kwa ajili ya Afrika mpya. Afrika ambayo inainuka na yenye matumaini tele, kwa ajili ya jukumu letu la pamoja la kuendelea kushirikiana kwa ajili ya amani na ustawi na haki inayosakwa na watu wetu na ambayo wanaistahiki kikamilifu"
Aliwaambia wageni hao wakati akiwakaribisha wageni wake kwenye chakula hicho katika Ikulu ya White House.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI