KUPITIA ukurasa wake wa INSTAGRAM star wa bongo flava Shilole au unawezakumuita SHISHI BEIB ametupia picha hii ambayo aliandika kuwa ametoka TBC taifa na sasa yupo mlimani TV kwa ajili ya mahojiano......KAMA UNAVYOIONA HAPA…
Followers wengi walionesha ku-MDIS kutokana na vazi hilo la mapaja wazi kuwa sio mahali pake...soma baadhi ya comment hapa chini.
Followers wengi walionesha ku-MDIS kutokana na vazi hilo la mapaja wazi kuwa sio mahali pake...soma baadhi ya comment hapa chini.
0 comments:
Post a Comment