Saturday, August 23, 2014

LUIS FIGO ALIPOTUA TU BONGO, ALIONANA NA MTANGAZAJI HUYU

Mchezaji Luis Figo akiwa katika picha ya pamoja na mtangazaji wa E FM 93.7 Mauld Kitenge wakati alipowasili katika uwanja wa kimataifa Dar tayari kwa mechi yao ya Jumamosi ya wachezaji wa zamani wa Real Madrid watakapokipiga mechi ya kirafiki na wachezaji wa zamani wa Tanzania waliowahi chezea Timu ya Taifa na club ya Yanga na Simba wanaojulikana kama Tanzania Eleven siku ya Jumamosi Aug 23, 2014 uwanja wa Taifa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI