Saturday, August 23, 2014

PINDA AKUTANA NA MKAPA MWANZA

PG4A2748
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa  mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. 

PG4A2753
Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwnye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa   mgeni rasmi katiaka harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI