BAADA ya kipindi kirefu cha mapenzi ya kuwaka na kuzima, sasa Chris Brown anahitaji kuwa baba mtoto wa Karrueche Tran.
Mkali huyo wa R&B ameandika mpango wake huo katika Instagram ikiwa ni siku moja baada ya Karrueche kutoa tamko rasmi kuhusu kurudiana kwao na kueleza kuwa katika mapenzi yao kuna vitu vya ndani ambavyo havijulikani na havipaswi kujulikana kwa watu ambavyo vinawafanya waendelee kuwa pamoja.
"@karrueche damn near 5 years and this woman still putting up with my s---. Need to have this baby and stop playing! Lol! My WCW" Ameandika Chris Brown na kupost Karrueche.
0 comments:
Post a Comment