Friday, August 8, 2014

KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN WANUNUA HILI JUMBA IITALOWEZA KUMFICHA ZAIDI MTOTO WAO *PICHAZ*

kim & k 
RAPPER Kanye West Na Mke Wake Kim wamenunua nyumba iliyopo kwenye heka tatu na nusu huko Hidden Hills, Calabasas karibu na nyumba ya mama yake Kim Kris Jenner.
Tmz wameripoti kuwa K&K wametumia dola za Kimarekani milioni 20 kununua nyumba hii ambayo awali iliyokuwa ikiuzwa dola milioni 21.
Nyumba ina mabwawa mawili ya kuogelea na majirani wameipa jina “The jewel of Hidden Hills.” 
Nyumba hii awali ilimilikiwa na mtoto pekee wa msanii Elvis Presley anaitwa Lisa Marie Presley.
Kim K 2Kim K 3UM0A0014UM0A0001Kim K 6UM0A9911*UM0A9847*UM0A9881UM0A0019Kim K 11Aerial_Ingate3Aerial_Skyview

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI