Friday, August 8, 2014

CINDY RULZ NI MIONGONI MWA WASANII WANAOWANIA TUZO HIZI HAPA ZA MAREKANI

Cindy Rulz 

Cindy Rulz
RAPPER Cindy Rulz amekuwa miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwania tuzo za wasanii wanaochipukia za Marekani [ UnderGround Music Awards >UMA'S]. 
Hizi tuzo hutolewa kwa wasanii, Producers wa muziki wanaojitegemea na waandishi wa nyimbo.
Cindy Rulz ametajwa kama msanii peke kutoka Africa Kuwania tuzo hizi. 
Cindy yupo kwenye kipengele cha ‘Msanii bora wa Kimataifa’ [Best International Artist] akiwa na wasanii kama Joe Young, Apollo, Escobar na Fil Straughan.
Wasanii wakubwa waliowahi kushinda tuzo hizi na baadae mambo yao kufanikiwa ni pamoja na MIMS, Nicki Minaj, J Cole, Styles P, Rapper Papoose, Freeway, Remy Ma na Lil Mama


Cindy 14

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI