Tuesday, July 22, 2014

VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA JIJINI DAR (TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI)

 Moja ya Kiungo, (Mguu)
 Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa

 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
 Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya binadamu katika  mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.
 Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
JESHI la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm
Taarifa za tukio hilo zimethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camilius Wambura. 
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili itatolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI