MWANAMUZIKI Rachel Ambaye ni zao la THT na Aliyetamba na Single ya Kizunguzungu amejitokeza hadharani na kukanusha tetesi ambazo zilikuwa headlines week mbili zilizopita kuwa anatoka kimapenzi na TID na Pia Anatumia Madawa ya Kulevya baada ya TID kumfundisha.
Rachel Amekanusha uvumi huo na kusema:
"Jamini mimi sina mahusiano ya kimapenzi na TID kabisa maneno nayasikia tu mtaani na kwenye blogs ila si Mpenzi wangu na wala hajanifundisha kutumia madawa ya kulevya, hizo stori sijui zinatoka wapi, mimi TID ninampango wa Kufanya nae kazi za music tu na si vingine"
0 comments:
Post a Comment