Wednesday, July 16, 2014

SHILOLE AWAFUNGUKIA WANAOMSEMA KUWA NI SUGAR MUMMY NA MPENZI WAKE NI SERENGETI BOY!

STAA wa Bongo Movies Mrembo Shilole Amehabarisha na Kusema kuwa Anawashangaa Sana watu wanao kaa Kutwa Kuchonga na Kusema Eti Mpenzi wake Nuhu Mziwandani ni Mdogo kwake kiumri , 
Shilole Amesema yeye na Nuhu Wanalingana Umri so kwake yeye ni sawa tu , 
Alizidi Kusema kuwa Kwanza Mapenzi huwa hayajali Umri Mnao kaa Kuchonga Mtachonga Sana.....

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI