Tuesday, July 15, 2014

MAPENZI NA MPIRA: MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 'UJERUMANI' WALIVYOFURAHIWA NA WAPENZI WAO BAADA YA KUTWAA KOMBE

Mademu wa wachezaji wa Ujerumani wakipiga picha pamoja kushangilia ubingwa wa dunia wa mabasha wao .
Andre Schurrle akilia na mpenzi wake, Montana Yorke baada ya kushinda ubingwa wa kombe la dunia mwaka 2014.
Dole bebii: Schurrle alikiri kuwa alizidiwa na hisia baada ya kipyenga cha mwisho na kushindwa kuzuia machozi 
Furaha: Schurrle na Yorke wakishangilia pamoja baada ya Ujerumani kushinda bao 1-0 dhidi ya Arentina.
Mshindi: Super Mario Gotze alifunga bao la ushindi la Ujerumani na kutwaa ndoo katika dakika za nyongeza
Haamini: Gotze na mpenzi wake wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa katika dimba la Maracana mjini Rio
Big Bosi naye!, Joachim Low akiwakumbatia wake za wachezaji wake baada ya kushinda kombe la dunia.
Umetisha bebii: Bastian Schweinsteiger akionana na mpenzi wake Sarah Brandner baada ya ushindi.
Mshindi: Mpenzi wa Schweinsteiger, Brandner, akitabasamu huku akiwa amevaa medali ya dhahabu
Busu: Mats Hummels na demu wake Cathy Fischer wakikutana baada ya dakika za nyongeza katika mechi ya fainali ya kombe la dunia
Familia pamoja: Miroslav Klose akiwa na mke Sylwia na watoto wake baada ya kutwaa ubingwa wa dunia 

Sami Khedira, aliyeumia wakati wa mazoezi kabla ya fainali, alisalimiwa na mpenzi wake Lena Gercke 
Khedira akimbusu mpenzi wake Gercke baada ya kupewa medali za dhahabu.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI