Wednesday, July 23, 2014

HAWA NI WANAWAKE 9 AMBAO WAMEWAI KUWA KWENYE MAPENZI NA LIL WAYNE

weezy
KWA sasa Weezy yupo kwenye headline kwa tetesi zinasema kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii Christina Millian. 
Sasa watu wengi wamependa kujua historia ya kimapenzi ya hawa wawili.
Kwa upande wa historia ya mahusiano ya Lil Wayne hawa ndio wanawake 9 aliwahi kuhusika nao kimahusiano waziwazi na wengine zilibaki kuwa tetesi.

1Adrienne Bosh alikuwa na mahusiano na Lil Wayne kabla hajaolewa na mcheza kikapu Chris Bosh
2Huyu ni video model Karrine Steffans ambaye alikuwa na mahusiano ya wazi kabisa na Lil Wayne
3Actress Megan Good alikuwa kwenye mahusiano na Weezy kwa muda wa miaka 3
4Kwa mcheza kikapu Skyler Diggins zilikuwa ni tetesi kwamba ana uhusiano na Lil Wayne
5Rapper Trina aliwakuwa na uhusiano na Weezy hadi aliwahi kupata ujauzito wake lakini bahati mbaya ujauzito uliharibika.
6Uhusiano wa Lil Wayne na muigizaji Lauren London ulileta matunda ya mtoto Cameron Carter
7Lil Wayne alivisha hadi pete Nivea mwaka 2002.
8Huyu ni mama wa mtoto wa kwanza wa Wayne anaitwa Reginae
9Hivi sasa tetesi zipo kati ya Wayne na Christina Milian

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI