Tuesday, July 22, 2014

CHRIS BROWN ACHEZA MECHI YA KUJITOLEA, MASTAA KIBAO WAMUUNGA MKONO *PICHAZ & VIDEO*

2
CHRISS BROWN ameungana na mastaa wenzake kwenye mechi ya kickball kwa ajili ya kujitolea. Mechi hiyo ambayo timu ya Chris Brown ilicheza vs timu ya mtoto wa P. Diddy Quincy Combs lengo lake kubwa lilikuwa ni kukusanya pesa za viingilio na kuzitumia kwenye charity.
Team Breezy ilikuwa na mastaa kama Christina Milian, Paris Hilton, Omarion,DJ Khaleed na Jamie Foxx. Timu ya Quincy ilikuwa na The Game, Amber Rose, Keke Palmer, and Ne-Yo.
Mwisho wa mechi Chris Brown Team Breezy ilishinda na pia Chris Brown aliimba wimbo wa Loyal na kuwashukuru watu waliofika.
1
3
4
5
6
7
8
9
Chriss akiwa na Quincy
10

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI