
Msanii Jacob Steven 'JB' akiteta na Rais Jakaya Kikwete


Ommy Dimpoz akichukua chakula.

Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe

Masuala ya msosi nayo yakahusika.
ULIMWENGU WA HABARI tunasemaaaa!!!
Safi sana Mr. Prezidenti kwa hili lakini isiishie hapa tu, iendelee mpaka katika kupigania haki na stahiki zao ili nao wafaidike na kazi za mikono yao.






0 comments:
Post a Comment