Tuesday, June 3, 2014

UJIO MPYA WA OMMY DIMPOZ BAADA YA TUPOGO, TAZAMA VIDEO YAKE KALI HAPA!

Ommy Dimpoz a.k.a Poz kwa poz ameamua kuwaonjesha kionjo cha wimbo wake mpya unaokuja ambao video yake imefanywa nchini Marekani Na producer mkali nchini humo.
Wiki kadhaa zilizopita kupiti Account yake ya Instagram Ommy dimpoz aliweka kionjo cha Video hii na kusema ndio cha wimbo huo unaosubiriwa na Wapenzi wa Muziki wa Bongo fleva Kwa Hamu Kubwa.
Laikini hivi sasa ameamua kuuachia wimbo huo kwa mashabiki wake duniani kote...
Ucheki wimbo huu hapa!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI