BAADA ya kukatika kwa umeme majira ya saa moja na dakika shirini na tatu na kusababisha karibu mikoa yote ambayo imeunganishwa na Gridi ya taifa kukosa nishati ya umeme na kusimamisha shughuli za bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura ya bajeti ya serikali, mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanesco mhandisi Felchesim Mramba ametoa afafanuzi juu ya kukatika huko kwa umeme na kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya uchunguzi nini kimesababisha tatizo la kukatika kwa umeme na kusababisha usumbufu kwa wateja wa Tanesco.
Wednesday, June 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
Baada ya mama yake Beyonce ‘Tina Knowles’ kuweka na kutoa picha ya Solange na Jay Z instagram wakiwa kwenye lift pamoja, kitendo hichi k...
-
Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kw...
-
Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe na Capt. William Silaa (baba yake Jerry Slaa), wamethibitika kupoteza maisha kwa ajali ya hel...
-
SIKU chache moja baada ya taarifa za rapa Rick Ross kukwepa kulipa kodi ya toka mwaka 2012 ambayo ni dola za kimarekani $5.7. Rick Ross...







0 comments:
Post a Comment