Saturday, February 7, 2015

NDOA YA ESMA NA PETITMAN YAINGIA DOSARI WANAWAKE WA MJIN WAANZA KUMUANDAMA ESMA PLATNUMZ

NA hivi ndivyo namna Esma platnumz alivyowachamba wanadada hao kupitia mtandao wa kijamii.. huyu ndo mume wangu hana kazi wangu na ndo nampenda, anabeba mapochi ya wema nampenda, malaya nampenda, nimeolewa ndoa ya mkeka mimi, sijapewa zawadi hayakuhusu maisha yangu niachie mwenyewe hayakuhusu maisha yako hayanihusu... sifanyi mnavyotaka nafanya ninavyotaka kama nimekuzi lamba ndimu usitapike , Angalia comments za funs wa Esma
platnumz hapo chini!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI