Tuesday, June 3, 2014

MMH U-SUPERSTAR SHIDA! SNOOP DOGG ATAMANI KUWA JESUS! OPPSSS!!! *PICHA*

Oooh yeaah....!!!
Na hii ni picha aliyopostiwa na Snoop doggy katika ukurasa wake wa Instagram... 
Ambapo ilipielekea baadhi ya watu kumkosoa mwanamuziki huyo kwa kitendo hicho na kusema kuwa hiyo haijakaa poa kabisaaa!
Wengine wakaona poa tu!
Kwako we mdau hili limekaa vipi?? 
Tupe komenti yako hapo chini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI