Monday, June 30, 2014

NYIMBO MPYA: PITA MBELE - KIBA SQUARE, SOMA ALICHOSEMA ALI KIBA!!!

BAADA ya kile alichokidai ni kujifunza kuwa baba pamoja na kumuachia nafasi ya kukua ki muziki mdogo wake "Abdu Kiba", Ally kiba amerudi tena kwa ngoma ya kushirikiana na mdogo wake huyo "Pita Mbele"
Alikiba amekaririwa akisema "kuna Ally kiba na kuna Abdu Kiba, lakini Kiba Square ni katika kukata kiu ya mashabiki wengi ambao wamekuwa wakituomba kufanya kazi pamoja, lakini baada ya wiki kadhaa nitatoa wimbo wangu mwenyewe ambao unaitwa Dar-es-salaam" amesema Ally Kiba…
Sikiliza wimbo huo hapa chini 




0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI