Saturday, June 21, 2014

MOTO MKUBWA WATOKEA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) USIKU WA KUAMKIA LEO


Moto uhuu umezuka  karibu na hostel za mabinti katika skuli ya sanaa na lugha (humanities), chanzo cha moto huo hakijajulikana mpaka sasa.. tutakujuza kadri taarifa zitavyozidi kutolewa.



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI