Sunday, June 1, 2014

MAJONZI, SIMANZI, MASIKITIKO NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE TYSON, ALIYEKUWA DIRECTOR NGULI NCHINI

Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani
Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Baadhi ya waombolezji nyumbani kwa marehemu
Nyumbani kwa marehemu mbezi makonde
Mwanamuziki Mad Ice akiwa msibani nyumbani kwa marehemu
Picha Zote na Gabriel Ng'osha GPL

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI