Sunday, June 15, 2014

JE WAJUA? HII NDIYO ZAWADI YA MSHINDI WA BIG BROTHER MWAKA HUU, RATIBA NA KILA KITU VYATAJWA!

SHINDANO la Big Brother Africa 2014 limetangaza tarehe za usaili katika nchi mbalimbali za Afrika zitakazoshiriki huku Tanzania ikiwa ni tarehe 11 - 12 July katika hoteli ya New Africa Hotel, Dar es salaam. 
BBA ikaendelea kwa kutaja zawadi ya mshindi wa mwaka huu ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha dola za kimarekani $300,000.
Ambapo nchi zinazoshiriki mwaka huu ni Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Malawi, Namibia, Nigeria, Rwanda, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Uganda, Zambia na Zimbabwe. Upo hapo?????

0 comments:

Post a Comment